admin

By

Chuo Cha SAUT ARUSHA kipo katikati ya Jiji la Arusha na Taarifa za msingi ni kama ifuatavyo: 1. USAFIRI – Chuo kipo Jirani kabisa ya stand kuu ya mabasi Arusha, pia kinapakana na stand ya daladala zote za Arusha Mjini (Walking distances). Hivyo ni rahisi kufika chuoni nyakati zote bila usumbufu wowote. Usafiri wa kutoka...
Read More