Tarehe 6/12/2023 Chuo Kikuu cha Mt. Agustino Tanzania kinatarajia kufanya maadhimisho ya Saba ya Mahafali kutunukisha Astashahada, Stashahada na Shanada mbalimbali. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Askofu wa Jimbo katoliki Singida, Askofu Mapunda. Mahafali itatanguliwa na ibada ya misa takatifu itakayoanza saa mbili kamili. Karibuni sana.Read More
Chuo Cha SAUT ARUSHA kipo katikati ya Jiji la Arusha na Taarifa za msingi ni kama ifuatavyo: 1. USAFIRI – Chuo kipo Jirani kabisa ya stand kuu ya mabasi Arusha, pia kinapakana na stand ya daladala zote za Arusha Mjini (Walking distances). Hivyo ni rahisi kufika chuoni nyakati zote bila usumbufu wowote. Usafiri wa kutoka...Read More
Recent Comments