December 4, 2023

Day

Tarehe 6/12/2023 Chuo Kikuu cha Mt. Agustino Tanzania kinatarajia kufanya maadhimisho ya Saba ya Mahafali kutunukisha Astashahada, Stashahada na Shanada mbalimbali. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Askofu wa Jimbo katoliki Singida, Askofu Mapunda. Mahafali itatanguliwa na ibada ya misa takatifu itakayoanza saa mbili kamili. Karibuni sana.
Read More